Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Viongozi wa BRICS wajadili kanuni za kuwaingiza wanachama wapya
Your browser doesn’t support HTML5
Viongozi wa BRICS wamekuwa wakijadili kanuni za kuwaingiza wanachama wapya katika umoja huo.
Wananchi wa Zimbabwe wapiga kura kumchagua rais wa taifa hilo.