Gasia nchini Sudan Kusini.
wafanyakazi wa WFP wakipakua msaada wa vyakula kutoka eneo la umoja wa mataifa ambako watu wengi waliokoseshwa makazi wamehifadhiwa.
mwanamke aliyekoseshwa makazi akitembea na box la chakula akiwa amebeba kichwani kutoka kituo cha
umoja wa mataifa mjini Juba.
Picha ya mwanamke aliyekoseshwa makazi akiwa katika harakati za kutengeza chakula kwenye uwanja wa umoja wa mataifa alikochukua hifadhi
familia kadhaa ya watu walikoseshwa makazi katika kambi ya sudan kusini ndani ya jengo la UNMISS huko jabel katika ukanda wa juba.
Ujumbe wa umoja wa mataifa sudan kusini wanahamisha wafanyakazi katika uwanja wa kimataifa wa juba kwenda karibu na uganda.
The United Nations Mission in South Sudan relocates non-critical staff at Juba international airport to neighboring Uganda, Dec. 22, 2013. (UNMISS)
Sudan People's Liberation Army (SPLA) soldiers ride in a truck in Juba, Dec. 21, 2013.
mwanajeshi wa SPLA akiendesha gari huko Juba.
UNMISS Force Commander Maj. Gen. Delali Sakyi lays flowers on the coffins of his two colleagues who were killed two days earlier, Dec. 21, 2013.
wanaume waliokoseshwa makazi wakiwa ndani ya uwanja wa UNMISS katika mji wa Juba.
vijana waliokoseshwa makazi wakiwa wamesimama karibu na uzio ndani ya uwanja wa UNMISS huko Juba.
wafanyakazi wa afya wa umoja wa mataifa wakiwasaidia raia wa sudan kusini .