'Uvamizi wa Bunge la Marekani ulifanywa na maadui wa ndani wa Katiba'

Your browser doesn’t support HTML5

Mashuhuda wa uvamizi wa Bunge la Marekani Januari 6, 2021 waieleza kamati ya Baraza la Wawakilishi walishuhudia ukatili mkubwa uliofanywa na wavamizi wa Bunge la Marekani.