Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Utawala wa kijeshi uliokamata madaraka Niger kumfungulia mashtaka ya uhaini Rais Bazoum
Your browser doesn’t support HTML5
Utawala wa kijeshi uliokamata madaraka Niger kwa njia ya mapinduzi mwezi uliopita umesema utamfungulia mashtaka rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum kwa uhaini.