Baridi kali kuwahi kutokea Marekani
Mwanamke anatembea katika hali ya baridi kali mjini Chicago, Illinois, Jan. 6, 2014.
Mtu akitembea katika moshi wa baridi unaotokea katika Ziwa Michigan huko Chicago, Illinois, Jan. 6, 2014.
Matt Frame akiondoa barafu kutoka katika gari kwenye kiwanda cha magari cha Ray Laethem Buick-GMC huko Detroit, Michigan, Jan. 6, 2014.
Wasafiri wakiwa wamejikusanya kwenye taa zenye joto katika moja ya njia maarufu za Chicago "El" huku wakipigwa na upepo wa baridi kali, Jan. 6, 2014.
Wenda kwa miguu katika mtaa mmoja wa mjini Chicago.
Muda na digrii za nyuzi joto mjini Lawrence, Kansas, Jan. 6, 2014.
Daryl Daugherty akisafisha theluji mbele ya nyumba yake huko Carmel, Indiana, Jan. 6, 2014.
Mtu amejifunika uso kwa nguo nzito wakati anatembea mjini Springfield, Illinois, Jan. 5, 2014.