UNGA: Pendekezo la Marekani la kupigwa kura dhidi ya Russia lapita
Your browser doesn’t support HTML5
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA, lakubali pendekezo la kupiga kura dhidi ya Russia kuondolewa katika Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo Alhamisi.