UN yasema Rais Bashar al-Assad na viongozi wengine wa juu wanahusika na uhalifu wa kivita

Your browser doesn’t support HTML5

Mkuu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema rais wa zamani Bashar al-Assad na maafisa wengine wa juu wa Syria wanahusika na uhalifu wa vita.

Kenya imeungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga rushwa wakati mashirika na uongozi ukiangazia ukiangazia rushwa nchini humo...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari