Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
UN yasema hali inakatisha tamaa Sudan na inawataka majenerali wawili kusitisha mapigano
Your browser doesn’t support HTML5
Mkuu wa masuala ya haki za binadamu Umoja wa Mataifa aelezea hali inayoendelea Sudan inavunja moyo sana na ametoa wito kwa majenerali wawili kusitisha manyanyaso ya ngono na kuokoa maisha ya raia