UN yasema asilimia 90 ya samaki wakubwa baharini wanapungua

Your browser doesn’t support HTML5

Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira zinaonyesha kuwa asilimia 90 ya samaki wakubwa baharini wanapungua huku asilimia 50 ya mazalio yao yakiharibiwa na uchafuzi wa mazingira.

- Rais Joe Biden afungua mkutano wa viongozi wa mabara ya Amerika wakati baadhi ya marais wa nchi za Amerika ya Kati na kusini wakisusia mkutano huo.

- Mfalme wa Ubelgiji arejesha turathi ya asilia ya utamaduni wa DRC.