UN : Hakuna ushahidi vikosi vyetu vilifyatua risasi kwa waandamanaji DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa waeleza haina ushahidi walinzi wa amani walifyatua risasi kwa waandamanaji nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.