#UhuruNaUsafi katika sherehe za Disemba 9 Tanzania
Waziri Mkuu wa Tanzania akisafisha mtaro mjini Dar es salaam
Wananchi wakishiriki katika zoezi la usafi Tanzania
Rais John Magufuli wa Tanzania akishiriki katika zoezi la usafi, Disemba 9, 2015
Makamu rais wa Tanzania Samia Suhulu katika shughuli za usafi Tanzania
Wanafunzi wa chuo kikuu nao walikuwemo
Rais Magufuli "Hapa Kazi Tu"
Rais Magufuli #UhuruNaUsafi