Ufaransa yaanza kuwaondoa mamia ya raia wake na wa nchi za Ulaya Niger

Your browser doesn’t support HTML5

Ufaransa imeanza kuwaondoa mamia ya raia wa Ufaransa na Ulaya kutoka NIger.

Mkutano wa Mandela Washington Fellowship maarufu kama YALI unaofanyika kila mwaka unoandaliwa na serikali ya Marekani unaendelea.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari