Wakati huo huo Rais wa DRC Felix Tshisekedi anaendelea kuonekana kutetea kiti chake kwa matokeo ya awali ya uchaguzi huo uliofanyika Disemba 20, 2023. Endelea kusikiliza...
Uchaguzi wa DRC wakabiliwa na changamoto za kiusalama huku utulivu wa wananchi ukiwa rehani
Your browser doesn’t support HTML5
Kipindi cha Jarida la Wikiendi linaangazia uchaguzi mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huku hali ya utulivu wa wananchi wa nchi hiyo ukiwa au ukiendelea kuwa rehani.