Uchaguzi Mkuu wa Urais Kenya: Hali ilivyokuwa katika vituo vya kupiga kura
Wananchi wakisubiri kupiga kura, katika kituo cha Westland, Nairobi.
Maafisa wa vituo vya kupiga kura wakijiandaa kabla ya zoezi la kupiga kura kuanza Jumanne, katika shule ya msingi ya Westland, Nairobi, Kenya.
Masanduku ya kupiga kura yakiwa tayari katika kituo cha kupiga kura katika kituo cha Westland Nairobi, Kenya.
Wananchi wa Kenya wakisubiri kupiga kura katika uchaguzi mkuu mjini Nairobi, Kenya 2022.
Watu wakiwa katika mstari kupiga kura kabla ya kufunguliwa kituo cha shule ya msingi ya Westland, Nairobi, Kenya
Rais Joaquim Chissano akiwa pamoja na wafuatiliaji uchaguzi wa taasisi za Marekani NDI na IRI wakiwa katika kituo cha shule ya msingi ya Westland mjini Nairobi, Kenya.
Wananchi wakipiga kura katika moja ya vituo vya upigaji kura katika uchaguzi mkuu wa urais nchini Kenya.
Willian Ruto and Raila Odinga