Uchaguzi Kenya: Facebook yashutumiwa kushindwa kudhibiti matamshi ya chuki

Your browser doesn’t support HTML5

Ripoti ya Global Witness yashutumu mtandao wa Facebook kwa kushindwa kudhibiti matamshi ya chuki katika Kiswahili na Kiingereza wakati Kenya ikielekea katika Uchaguzi Mkuu 2022.