Wanamgambo washambulia jengo la makumbusho Tunis

Une ville morte a été organisée à Bangui, en Centrafrique, le 24 octobre 2016. (VOA/Freeman Sipila)

Maafisa wa polisi wakiwa wanajikinga karibu na jengo la makumbusho la Bardo ambako wanamgambo wanashambulia mjini Tunis, March 18, 2015.

Polisi wakisubiri wakati shambulio dhidi ya jengo la makumbusho la Bardo linaendelea mjini Tunis, March 18, 2015.

Gari la wagonjwa likiondoka kutoka jengo la makumbusho la Bardo Tunis, Tunisia, March 18, 2015.

Mathiriwa mmoja aliondolewa kutoka jumbe la makumbusho la Bardo mji Tunis, March 18, 2015.

Wafnaykazi wa afya wakimuondowa mtu aliyejeruhiwa katika shambulio la jengo la makumbusho la Bardo mjini Tunis

Rescue workers evacuate children, left, and adults after gunmen opened fire at the Bardo museum in Tunisia's capital, Wednesday, March 18, 2015 in Tunis.

Vikosi vya usalam vya Tunisia vinadhibiti eneo la shambulizi baada ya wanamgambo kushambulia jumba mashuhuri la makumbusho la Bardo, March 18, 2015.

Wafnaykazi wa uwokozi wakimondowa mtu aliyejeruhiwa  katika shambulio la jengo la Bardo mjini Tunis wakati polisi wakiendelea kulinda eneo hilo, March 18, 2015 in Tunis, Tunisia.