Trump na Zelenskyy wakutana kusaini mkataba wa madini

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump anakutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kusaini mkataba wa madini.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari