Trump aanza utawala wake mpya kwa kusaini mamia ya amri za kiutendaji
Amri za Kiutendaji za Trump na Hatua Mbalimbali katika Siku ya Kwanza
Rais Donald Trump ameanza utawala wake mpya wiki hii kwa kusaini mamia ya amri za kiutendaji kwa masuala mbali mbali kuanzia nishati hadi uhamiaji. Hizi hapa ni baadhi ya amri hizo...