Teknolojia mpya ya injini za umeme yasaidia wavuvi Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya Uholanzi yabuni teknolojia mbadala ya injini za umeme zinazotumika hivi sasa katika vyombo vya uvuvi nchini Kenya, ambazo zimekuwa ni msaada mkubwa kwa wavuvi.