Katika Picha Tazama baadhi ya wajumbe muhimu wa baraza la mawaziri la Donald Trump 17 Januari, 2025 Tazama baraza la Mawaziri la Donald Trump Marco Rubio Waziri wa Mambo ya Nje Robert F. Kennedy Jr. Waziri Afya na Huduma za Binadamu Pete Hegseth Waziri wa Ulinzi Pam Bondi Mwanasheria mkuu John Ratcliffe Mkurugenzi wa CIA Tulsi Gabbard Mkurugenzi wa Upelelezi wa Taifa Wakati utawala wa rais mteule Trump unajumuisha maelfu ya wateuliwa, watu aliowapendekezwa kuunda baraza la mawaziri ni muhimu zaidi.