Tanzania yaruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa kufanyika baada ya kupigwa marufuku kwa muda mrefu.

Waziri wa usalama wa taifa wa mrengo wa kulia wa Israeli alitembelea eneo lenye msikiti wa al-Aqsa mjini Jerusalem Jumanne.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.