Rais wa Taasisi ya Tanzania Health Summit anaeleza kuwa mchakato wa bima ya afya ni muhimu kwa mustakbali wa taifa. Endelea kumsikiliza...
Tanzania yaeleza mchakato wa bima ya afya ni muhimu kwa mustakbali wa taifa zima
Your browser doesn’t support HTML5
Mashirika na taasisi yanaofanya kazi katika sekta ya afya wanakutana kujadili ripoti ya maazimio. Ungana na mwandishi wetu huko nchini Tanzania akikuletea maazimio makuu ya sekta hiyo ikiwemo mchakato wa bima ya afya.