Tanzania yaanza kutekeleza makubaliano ya eneo huru la biashara la soko la pamoja Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania imeanza kutekeleza makubaliano ya eneo huru la biashara la soko la pamoja barani Afrika kwa kuingia katika makubaliano na mataifa nane. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari

Mwakilishi wa Umoja wa mataifa umemwambia kiongozi wa kijeshi nchini Gabon kwamba taasisi za UN imejipanga kuisaidia nchi hiyo katika kipindi cha mpito kurejea kwenye utawala wa kikatiba.