Tanzania na Hungary zakubaliana kuongeza ushirikiano

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania na Hungary zimeingia katika makubaliano kuongeza ushirikiano katika masuala ya biashara, elimu, utalii na masuala ya usawa wa jinsia na maendeleo ya wanawake.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari