Tanzania : Mwanasiasa mkongwe atetea mikakati ya Rais Samia
Your browser doesn’t support HTML5
Mwanasiasa mkongwe wa Tanzania Steven Wassira atetea mikakati inayotekelezwa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ikiwemo kujenga uchumi na kupambana na janga la Corona, katika mahojiano maalum na Mwandishi wa VOA Sunday Shomari...