Sudan Kusini yatangaza mlipuko wa kipindupindu jimbo la kaskazini
Your browser doesn’t support HTML5
Wizara ya Afya Sudan Kusini imetangaza mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika jimbo la kaskazini lenye utajiri wa mafuta ambako watu 31 wameambukizwa na mmoja amefariki.