Stoltenberg authibitishia ulimwengu kwamba washirika wa NATO wamesimama pamoja na Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Katibu Mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg alifungua mkutano wa kwanza wa baraza la NATO na Ukraine hivi leo na kumkaribisha Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kama watu walio sawa.

Stoltenberg amethibitisha tena kwamba washirika wa NATO wamesimama pamoja na Ukraine katika , ‘mapambano ya kishujaa kwa ajili ya uhuru na utaifa.’