Wakazi wa Catalonia wapiga kura kudai uhuru
Mwanamke akipiga busu cheti ya kupiga kura kabla ya kuitia kwenye sanduku kwenye kituo cha kupiga kura kudai uhuru wa jimbo la Catalonia mjini Barcelona, Spain, Oct. 1, 2017.
Watu wakisukumana na polisi wa taifa walokua wanajaribu kuwazuia wafuasi wanaounga mkono kura ya maoni nje shule ya Ramon Llull iliyopangwa na serikali ya Catalana mjini Barzelona kua ni kituo cha kupiga kura, Oct.1, 2017.
Wapiga kura wakifurahia kupiga kura zao katika shule iliyopangwa kua kituo cha kupiga kura na serikali ya Catalan mtaa wa Gracia mjini Barcelona, Spain, Oct. 1, 2017.
Polisi wa kupambana na ghasia wakifyetua risasi za mpira dhidi ya watu walojaribu kukaribia kituo cha kupiga kura kushiriki katika kura ya maoni mjini Barcelona, Oct. 1, 2017.
Mwanamke anamuonesha mlizi wa kiraia wa Hispania cheti cha kupiga kura nje ya kituo cha kura ya maoni iliyopigwa marufuku mjini Sant Julia de Ramis, Oct. 1, 2017.
People offer flowers to a civil guard at the entrance of a sports center, assigned to be a referendum polling station by the Catalan government in Sant Julia de Ramis, near Girona, Oct. 1, 2017.
Mwanamke akilia baada ya walinzi kuwaburura watu kutoka mlango wa kuingia katika kituo cha kupiga kura mjini Sant Julia de Ramis, near Girona, Oct. 1, 2017.
Walinzi wa raia wakiwaondowa watu kutoka mlango wa kuingia kwenye kituo cha kupiga kura katika mji wa Sant Julia de Ramis, near Girona, Oct. 1, 2017.
Catalan President Carles Puigdemont, center, speaks to the media at a sports center, assigned to be a polling station by the Catalan government in Sant Julia de Ramis, near Girona, Oct. 1, 2017.
Spanish riot police removes fences as they prevent people from reaching a school assigned to be a polling station by the Catalan government in Barcelona, Oct. 1, 2017.
Spanish Civil Guard officers break through a polling station for the banned independence referendum where Catalan President Carles Puigdemont was supposed to vote in Sant Julia de Ramis, Oct. 1, 2017.
Demonstrators wave Spanish flags during a demonstration in favor of a unified Spain on the day of a banned independence referendum in Catalonia, in Madrid, Oct. 1, 2017.
Spanish National Police prevents people from entering a school assigned to be a polling station by the Catalan government in Barcelona, Oct. 1, 2017.
People queue to vote at a school listed to be a polling station by the Catalan government in Barcelona, Spain, Oct. 1, 2017.
A man holds ballots at a polling station for the banned independence referendum in Barcelona, Oct. 1, 2017.
Catalan Mossos d'Esquadra officers walk while parents camp out at the entrance of the occupied Reina Violant elementary school, one of the designated polling stations, before the banned Oct. 1 independence referendum in Barcelona.