Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema maadui zake wameshindwa na kuahidi kulikamata tena eneo katika mkoa wa Amhara kutoka kwa wapiganaji wa Tigray.
Rais Joe Biden asema Marekani itafanya tathmini kila wiki kuhusu masharti mapya ya usafiri kufuatia aina mpya ya virusi duniani.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari