Maelfu ya mahujaji walikusanyika kaskazini mwa Baghdad leo Jumanne kwa sherehe za kidini za washia kuamdhimisha karne ya nane ya Imam Moussa al-Khadhim, licha ya kitisho cha shambulizi kufuatia mambomu mawili ya wanajihadi wiki hii.
Waandamanaji ambao walivamia eneo la kimataifa siku ya Jumamosi kwa kiasi kikubwa walisitisha maandamano yao na kwenda kushereheka siku ya Jumatatu, licha ya kuongeza hatua za usalama ikiwemo viziuizi kwenye barabara kuu, kuwalinda mahujaji, wasunni wenye msimamo mkali wameweza kufanya mashambulizi, ikiwemo bomu la kwenye gari hapo jana Jumatatu ambalo liliuwa mahujaji 18.
Kiongozi wa waandamanaji Muqtada al-Sadr aliapa atarudi kwenye eneo, ambako ni kuna bunge la taifa na balozi mbali mbali za kimataifa na taasisi, Ijumaa hii ili kuishinikiza Serikali kubadili kuitisha uchaguzi wa haraka.