Shamra shamra zilizokuwepo wakati wa tuzo za BET za 2024

Your browser doesn’t support HTML5

Stori kuhusu mwanariadha wa Angola Andre Mathias, akizungumzia maandalizi yake kuelekea kwenye michezo ya Olimpiki ya mwaka huu, pamoja na tuzo za BET ambazo zilifanyika hivi karibuni.