Polisi wa Utawala nchini Kenya wamegundua bomu (IED) lililokuwa limezikwa ardhini katika kaunti ya Garissa.
Shambulizi la kigaidi lajeruhi polisi 5 Kenya

Moja ya gari lililokuwa katika msafara huo.

Bomb kabla ya kuteguliwa

Shimo ambalo bomu lilikuwa limefukiwa
Afisa wa jeshi akiwa katika harakati za kulitegua bomu.
Bomu likifukuliwa
Bomu likiwa tayari limeteguliwa
Maafisa wa jeshi wakitegua bomu hilo.