Kenya na Umoja wa Ulaya wakabiliana na ugaidi na uvuvi haramu
Your browser doesn’t support HTML5
Serikali ya Kenya ikishirikiana na Umoja wa Ulaya inawasaidia wavuvi kutambuliwa wakiwa baharini kwa vitambulisho maalum ikiwa ni juhudi za kukabiliana na ugaidi na uvuvi pwani ya Afrika Mashariki.