Serikali ya DRC yapiga marufuku maandamano ya kupinga uchaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepiga marufuku maandamano ya kupinga uchaguzi, wananchi bado wanasubiri matokeo kutangazwa kwa hamu kubwa.

Jeshi la Israeli limesema kuwa limefanya mashambulizi huko Ukingo wa Magharibi wakilenga watu wanaoshutumiwa kulifadhili kundi la wanamgambo wa Hamas.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari