Sera za uwekezaji kwa serikali za Afrika Mashariki zinavyobadilika

Your browser doesn’t support HTML5

Jarida la Wikiendi linaangazia namna ambavyo sera za uwekezaji kwa serikali za Afrika Mashariki zinavyobadilika na kukaribisha ubia wa sekta binafsi.

Ungana na waandishi wetu na wachambuzi mbalimbali wakieleza jinsi hatua hizi zinavyochangia katika ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya nchi hizi. Endelea kusikiliza...