Sepp Blatter miaka yake FIFA

Rais wa FIFA Sepp Blatter akishikilia kikombe wakati wa kupanga fainali za kombe la dunia 2010  Cape Town, South Africa, Disemba 4, 2009.

Sepp Blatter akitembelea ujenzi wa viwanja vya kombe la dunia Afrika Kusini, Septemba 15, 2008.

Sepp Blatter looks kabla ya mechi ya nusu fainali ya kombe la dunia baina ya Uholanzi na  Argentina huko Sao Paulo, Brazil, July 9, 2014.

Rais wa Brazil Dilma Rousseff, Sepp Blatter, na Rais wa Russia Vladimir Putin wakati wa kukabidhi Russia uenyeji wa fainali za mwaka 2018 iliyofanyika July 13, 2014.

Sepp Blatter akikaribisha wachezaji Monterrey kabla ya mechi baina ya Al Ahly SC na Monterrey FC katika mashindano ya kombe la dunia la klabu Morocco, Disemba 18, 2013.

Sepp Blatter akipeana mkono na Sheik Mohammed bin Hamad al-Thani, mwenyekiti wa kamati ya Qatar kuwania uwenyeji wa fainali za mwaka 2022 mjini Doha, Qatar, Novemba 9, 2013.

Sepp Blatter na rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton mjini Munich, Disemba 1, 2005.

Sepp Blatter akipiga picha na watoto wa shule wakati alipotembelea chama cha mpira wa miguu cha Zimbabwe July 4, 2011.

Sepp Blatter baada ya kuvalishwa vazi za heshima la asili ya kihindi katika sherehe za miaka 70 ya chama cha mpira cha India mjini New Delhi, April 17, 2007.

Sepp Blatter anashikilia kadi ya "ahsante" aliyopewa na watoto wa shule wa Uingereza huko   Gelsenkirchen, Ujerumani, July 1, 2006.

Gwiji wa kandanda kutoka Brazil, Pele, akimlaki Sepp Blatter katika mkutano wa uchumi wa dunia Davos, Switzerland, January 26, 2006.

Sepp Blatter akijitayarisha kurusha mpira kwa waandishi wa habari mwisho wa mkutano na waandishi mjini Leipzig, Ujerumani, Disemba 7, 2005.