Wanawake wa Saudia washiriki katika uchaguzi kwa mara ya kwanza

Wanawake wapiga kura kwa mara ya kwanza, Saudi Arabia.

Dr. Haifa al-Hababi, mgombea kiti cha baraza la manisipa akihojiwa na shirika la habari la AP mjini  Riyadh, Dec. 11.

Fawzia al-Harbi, miongoni mwa wagombea wa kwanza wanawake wa Saudia katika uchaguzi wa manisipa, akionesha wasifu wake kwenye tovuti yake. Riyadh on Nov. 29, 2015.

Mwanamke waki Saudia akieleza furaha yake baada ya kupiga kura yake ya kwanza. 

Wanawake wakijadiliana baada ya kumaliza kupiga kura ya kihistoria.

Msaudia akitia saini karatasi za kupiga kura mjini Riyadh

A Saudi man prepares to cast his vote.

Maafisa wa uchaguzi wa Saudia wakijitayarisha kuhesabu kura.