Samia awataka wanadiplomasia wa Magharibi kukoma kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wanadiplomasia wa nchi za Magharibi kutoingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yuko Mashariki ya Kati kwa ziara ya kumi kutafuta amani Gaza.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari