Samia aeleza kipaumbele cha Tanzania katika mkutano wa UN
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Jumapili anatilia mkazo zaidi suala la mabadiliko ya hali ya hewa na kuwa Tanzania inaendeleza juhudi za kukabiliana na janga hilo.