Sababu zilizopelekea ongezeko la kipindupindu Harare
Your browser doesn’t support HTML5
Mamlaka katika Wizara ya Afya nchini Zimbabwe inasema kipindupindu kimesababisha vifo vya watu 28 na hatua ambazo zinachukuliwa kukabiliana na tatizo hilo. Ungana na mwandishi wa VOA akieleza kile kilichopelekea kipindupindu kusambaa.