Rwanda yatumia katuni kama nyenzo ya kuwashawishi watoto kujisomea

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika lisilo la kiserikali "one help one direction" lawakusanya watoto huko Nyamirambo, Rwanda kuwasaidia kujifunza kusoma ilikuwapa matumaini. Linasema baadhi ya wanafunzi hawana vifaa mahsusi vya kujisomea nyumbani na shuleni ikiwafanya baadhi yao kuwa nyuma darasani hadi mitaani.

Lakini maafisa wa shirika hilo wanasema wanafunzi wamekuwa na hamu kubwa ya kusoma. Sikiliza ripoti kamili...