Ruto aahidi kusimamia utawala wa sheria na kulinda raia wote

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya William Ruto aahidi kusimamia utawala wa sheria na kulinda raia wote wa Kenya kufuatia madai ya waandamanaji kumtaka ajiuzulu.

Mahakama ya Juu ya Marekani kwa mara ya kwanza imeamua kuwa rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ana kinga ya mashtaka ya hatua rasmi alizochukua akiwa madarakani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari