Russia yashambulia raia katika miji kadhaa ya Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajeshi wa Russia wamerusha makombora katika miji kadhaa ya Ukraine wakati watu wakiwa wanaelekea kazini, na kuua raia, kuharibu mitambo ya umeme. Rais Vladmir Putin ametangaza kwamba hatua hiyo ni ya kujibu shambulizi dhidi ya daraja linalounganisha Russia na Crimea.

.Makombora yamepiga sehemu zenye shughuli nyingi za biashara, bustani na sehemu za kitalii mjini Kyiv.