Russia yakosoa utegemezi wa uchumi wa dunia kwa dola ya Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia akosoa utegemezi wa uchumi wa dunia kwa dola ya Marekani akieleza jinsi nchi zinavyobadilisha matumizi yao kwa kutumia sarafu nyingine.