Russia: Mwandishi wa habari wa Marekani atuhumiwa kwa ujasusi
Your browser doesn’t support HTML5
Mwandishi wa habari wa Marekani afikishwa mahakamani nchini Russia kwa mara ya kwanza Jumanne akifunguliwa mashtaka ya ujasusi. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hali ilivyokuwa hapo mahakamani.