Picha za Ramadhan kutoka sehemu mbali mbali duniani
Watoto wa Kiislamu Kenya wakisoma Quran katika siku ya 11 ya mwezi wa Ramadhan
Waislamu huko mashariki ya kati wakisoma Quran katika mwezi wa Ramadan
Ramadhan nchini Pakistan
Ramadhan huko Yemen
Ramadhan Indonesia
Ramadhan mashariki ya kati, nchini Misri
Wakati wakisoma Quran katika msikiti wakati wa mwezi wa Ramadhan mjini Cairo, Misri, June 18, 2015. REUTERS/Asmaa Waguih - RTX1H5IE
Rais Barack Obama akikaribisha wageni siku aliyofuturusha White House June 22, 2015, mjini Washington.
Vijana wa kiume nchini Libya wakisoma Quran wakati wa mwezi wa Ramadhan katika mji wa Benghazi, June 29, 2015. REUTERS/Esam Omran Al-Fetori - RTX1IC54
Familia za Kisomali wakipata futari katika kituo cha misaada mjini Mogadishu June 22, 2015. REUTERS/Feisal Omar - RTX1HMYN
Ramadhan ndani ya India Kashmir
Ramadhan ndani ya Bangladesh