Uamuzi katika kesi ya Zimmerman wazusha upinzani
Mwanamke akipiga mayowe huku waandamanaji wakidai haki kwa Trayvon Martin wakati wakiandamana katika eneo la Times Square mjini New York's Union, Julai 14, 2013.
Maelfu ya watu wakiandamana Times Square New York baada ya George Zimmerman kukutwa hana hatia na mahakama ya Florida, July 14, 2013.
Waandamanaji wakitembea katika mtaa wa Lower East Side mjini New York huku wakiwa wameshikilia sanamu la Trayvon Martin wakati wa maandamano baada ya kuachiwa kwa George Zimmerman, July 14, 2013.
Waandamanaji wakiwa wamekusanyika Union Square mjini New York, July 14, 2013.
Kundi la watu linaanza maandamandano katika kesi ya Trayvon Martin huko Miami, Florida, July 14, 2013.
Watu wakiwa wameinua magazeti na kukunja ngumi kufuatia uamuzi wa kesi ya George Zimmerman, Newark, New Jersey, July 14, 2013.
Mtu akiwa ameshikilia gazeti wakati mwingine amelala barabarani huku kundi kubwa la watu likiwa linakusanyika baada ya uamuzi wa kesi ya George Zimmerman, Newark, New Jersey, July 14, 2013.