Rais Xi apongeza 'maendeleo' yaliyopatikana katika mazungumzo na Waziri Blinken

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa China Xi Jinping amepongeza ‘maendeleo’ katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken mjini Beijing siku ya Jumatatu, mawasiliano ya mwisho katika ziara adimu iliyolenga kuhakikisha mivutano kati ya mataifa yenye nguvu haibadiliki na kuwa mizozo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari