Rais wa Zamani wa Marekani Jimmy Carter amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 100.
Your browser doesn’t support HTML5
Kifo cha rais Carter kimetufungulia ukurasa wa mwaka 2025, wiki hii tunaangazia uongozi Jimmy Carter kama rais wa zamani wa Marekani.