Rais wa DRC Tshisekedi amuapisha kiongozi wa kijeshi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amemuapisha kiongozi wa kijeshi wakati mapambano na waasi bado yanaendelea.

Mwili wa Rais wa zamani wa Marekani hayati Jimmy Carter kuletwa katika bunge leo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari